WETU

Posted on Leave a commentPosted in African languages, Featured Creatives, Poetry, Poets

Ndio, lugha, tunazo nyingi. Neno zinge kuwa shillingi, Tunge kuwa sote matajiri. Tusi jilinganishe na mti, Mwenye tuna muona kwa runinga, Ati matawi zake na zangu za fanana rangi. Jilinganishe na Jirani. Mwenye ana eza kutunza watoto, Tukienda kazi. Siku ijayo, nikikosa. Ndiye atanisaidia chumvi. Bega kwa bega, Tunayo nguvu ya kuhakikisha uhai ya amani. […]