Apocalypse

Posted on Leave a commentPosted in Featured Creatives, Poetry, Poets, sheng, spoken word

“I wanna live forever young, do you wanna live forever?” Ambia JayZ kaburi ni jumba lake la maisha, ‘Cause ya ulimwengu yataisha, Smile zitaboeka, beauty itazoeka, Watabomoa ukuta na kisha watajenga ufa, uhai utakufa. Mapenzi itachukia, Kwa world dhambi itakua na ufalme na kifo itakua malkia. Wanyama watagive birth to binadamu, Chuki itatabasamu, Science itacreate […]

Shoes ni Necessity

Posted on 5 CommentsPosted in African languages, Articles, sheng

  Shoes are a necessity. Kwa wengine ni accessory. It’s like a necklace to them.lazima imatch na nguo unless unataka achekwe. Ndio maana unaona dame kavaa kiatu open na anapitia kwa matope ili akae mrembo. Hajui anaonyesha watu IQ level yake.labda hiyo ndio watu huita common sense juu hautapata dame amevaa gumboots with a common […]

BEAUTY-FOOLS-WE-MEN

Posted on 4 CommentsPosted in African languages, Poetry, Poets, sheng

How come ukali wa aloe Vera iko among the sweet ingredients za beauty tips? How come words chafu zinatoka kwa beautiful lips? Lip gloss, lip balm na lipstick ziko enough kufunika njaa yako kwa public Lakini sauti ya minyoo zikilalamika kwa tumbo, hazitawacha kusikika hata uvae nguo sound proof. Lips hazina difference na walls za […]

BLACK PARADISE

Posted on Leave a commentPosted in African languages, Poetry, Poets, sheng

Ni culture yetu imekufa na umevaa bikini unasmile kwa mazishi? Mutura kwa mtoto wa ghetto ni dishi, kwa mdomo ya mzungu ni fear factor, Yenye akimanage kula ako na Grammy ya the best actor. Ni internet na media zilimess up na culture zetu Na kufanya madame kuwa anti ugali sukuma coz wanataka hamburger na pizza […]