PAHALA PANO NI PAPI

Posted on Leave a commentPosted in African languages, Poetry, Poets

Mashariki pambazuka, la kwako jua nilone Nisije shida kumbuka, chembechembe wala tone Kiza kipate toweka, mwanga kiza utafune Pahala pano ni papi, mwanga wapi mejificha? Mwanga wapi mejificha, nakungojele upenye Hata lini kutakucha, nakwombele sinisinye Dunia sikawe bucha, mulika vita ufinye Pahala pano ni papi, mbona mbele nyuma sawa? Mbona mbele nyuma sawa, bonde milima […]