SAMAKI WA MATONGO

Posted on Leave a commentPosted in African languages, Poetry, Random Posts

Jadi nilipokupenda, wakati lolote ningetenda, ahadi ulipanda, nikatarajia kuvuna, hisia na huba, farha si haba, kumbe haba na haba, haujazi kibaba bin riba, Loh! Longo longo, jicho la moyo nalo chongo, sikujua ni hongo, penzi ulonipa, heri ngetia usongo, nsipumbazwe na udongo, umenifunza hata kwa matongo, samaki humjua papa!! Dalili ulinipa, ila macho nilifumba, ulinifunga […]